Mwongozo huu wa mwezeshaji ni sehemu ya msaada wa kwanza wa Kisaikolojia wakati wa milipuko ya ugonjwa wa Ebola (Shirika la Afya Ulimwenguni, CBM, World Vision International, UNICEF, Septemba 2014). Mwongozo huo "umebuniwa kuelekeza wasaidizi kutoa msaada wa kwanza wa kisaikolojia (PFA) kwa watu walioathiriwa na mlipuko wa Ebola. PFA inahusisha usaidizi wa kibinadamu, wa kuunga mkono na wa vitendo kwa watu walio na huzuni, kwa njia zinazoheshimu utu, utamaduni na uwezo wao."
