Kikao cha 3: Wajibu wa Mhudumu wa Afya ya Jamii katika COVID-19
Wakati jukumu la Mhudumu wa Afya ya Jamii linaendelea kubadilika katika kipindi cha janga hili, haswa ambapo ushirikishwaji na jamii unapaswa kupunguzwa, wapi wanaweza kuwa na ufanisi zaidi? Kipindi hiki kinachunguza shughuli za Wahudumu wa Afya ya Jamii wakati wa COVID-19, na marekebisho yanayohitajika ili kuhakikisha kuwa jukumu lao ni salama na zuri katika kupunguza maambukizi ya COVID-19.
1. Tazama video:
2. Kagua ulichojifunza (majibu yako hayatarekodiwa):
Matokeo
Umefanya vizuri!
Ungependa kujaribu tena?